D dada dori JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 233 Reaction score 93 Oct 2, 2015 #1 Habari! Nimejichoma kwenye kidole na sindano ya cherehani nilipokuwa nashona,lkn jeraha ni dogo.Naomba msaada Kwa anayejua dawa ya kutibu jeraha.
Habari! Nimejichoma kwenye kidole na sindano ya cherehani nilipokuwa nashona,lkn jeraha ni dogo.Naomba msaada Kwa anayejua dawa ya kutibu jeraha.
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,120 Reaction score 5,352 Oct 5, 2015 #2 pole sana.... kama jeraha no dogo sana usiweke dawa, safisha kisha ufunge plasta baada ya kuweka pamba kwa ndani... sindano ya tetenasi pia inahusika kuzuia huo ugonjwa...
pole sana.... kama jeraha no dogo sana usiweke dawa, safisha kisha ufunge plasta baada ya kuweka pamba kwa ndani... sindano ya tetenasi pia inahusika kuzuia huo ugonjwa...
mamitod JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 914 Reaction score 385 Oct 6, 2015 #3 Muhimu kachome anti tetanus maana sindano huenda imeacha uchafu ndani (mafuta au kutu) chanjo hii ni bure hosp zote. Pili osha jeraha kea maji ya uvuguvugu funga plaster. Au saga kitunguu saumu fungia pole kwa masaibu.
Muhimu kachome anti tetanus maana sindano huenda imeacha uchafu ndani (mafuta au kutu) chanjo hii ni bure hosp zote. Pili osha jeraha kea maji ya uvuguvugu funga plaster. Au saga kitunguu saumu fungia pole kwa masaibu.
C cool d JF-Expert Member Joined Jan 20, 2015 Posts 1,743 Reaction score 1,751 Oct 6, 2015 #4 Siku nyingine ukijichoma, tumia mafuta ya taa ambayo hayajatumika kwenye jiko wala kwenye taa, weka tu kiasi baada ya muda utakuwa sawa. Ila Kwa Kazi choma sindano za tetenus Kwa kufatisha mpangilio uwe na kinga ya moja Kwa moja.
Siku nyingine ukijichoma, tumia mafuta ya taa ambayo hayajatumika kwenye jiko wala kwenye taa, weka tu kiasi baada ya muda utakuwa sawa. Ila Kwa Kazi choma sindano za tetenus Kwa kufatisha mpangilio uwe na kinga ya moja Kwa moja.