Msaada wa matibabu: Nimejichoma kidoleni na sindano ya Cherehani

Msaada wa matibabu: Nimejichoma kidoleni na sindano ya Cherehani

dada dori

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
233
Reaction score
93
Habari!

Nimejichoma kwenye kidole na sindano ya cherehani nilipokuwa nashona,lkn jeraha ni dogo.Naomba msaada Kwa anayejua dawa ya kutibu jeraha.
 
pole sana....

kama jeraha no dogo sana usiweke dawa, safisha kisha ufunge plasta baada ya kuweka pamba kwa ndani...

sindano ya tetenasi pia inahusika kuzuia huo ugonjwa...
 
Muhimu kachome anti tetanus maana sindano huenda imeacha uchafu ndani (mafuta au kutu) chanjo hii ni bure hosp zote. Pili osha jeraha kea maji ya uvuguvugu funga plaster. Au saga kitunguu saumu fungia pole kwa masaibu.
 
Siku nyingine ukijichoma, tumia mafuta ya taa ambayo hayajatumika kwenye jiko wala kwenye taa, weka tu kiasi baada ya muda utakuwa sawa.

Ila Kwa Kazi choma sindano za tetenus Kwa kufatisha mpangilio uwe na kinga ya moja Kwa moja.
 
Back
Top Bottom