Msaada wa matibabu ya mgongo

Msaada wa matibabu ya mgongo

kibenten

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
499
Reaction score
510
Mimi ni kijana tu ila nasumbuliwa na maumivu ya mgongo,, maumivu haya hutokea pale ambapo nimekaa mda mrefu kwenye kiti (3hrs+) pia pale ambapo nimesimama mda mrefu (1hr+) kiasi kwamba ukitoka hapo huwezi hata kuinama.

Nimevumilia kwa miezi zaidi xa mitatu bila kutumia dawa yoyote juzi kati nikanunua za kuchua lkn hadi nimamaliza dozi hakuna matokeo mazuri.

Naombeni anajua dawa yoyote anijuze.
 
Taja jina la hiyo dawa uliyotumia
 
MUNGU ni suluhisho la tatizo lako

Back
Top Bottom