Msaada wa matibabu ya PCOS (Polystic Ovarian Syndrome)

wamanga

Senior Member
Joined
Feb 11, 2016
Posts
109
Reaction score
320
Habari Ndugu zangu!

Nimetafuta ujauzito kwa muda mrefu bila ya mafanikio! Nimekutana na Daktari kaniambia Nina PCOS kwenye ovary mbili zote!

Amenipatia metrofromin na kaniambia tu nifanye mazoezi! Japo bado sioni mafanikio!

Jamani ninahitaji Sana wa kupata watoto umri wangu umesonga, Ndoa mawifi wamechachamaa!

Nisaidieni wapendwa, kwa mliowahi kutibu ama kupitia hii Hali mmefanyaje mkapata watoto?
 
Pole sana ingawa umenikera kwamba "mawifu wamechachamaa".

Hii inaonyesha una mume ambae hana uwezo wa kujisimamia hadi ndugu wamuamulie.
Ebu sikiliza binti......

Mume ni wakwako pekeyako, na mawifi mkiwaendekeza basi hiyo ndoa yenu haito dumu.
Lakini pia.....

Mtoto ni majaaliwa, kuolewa/kuoa haikupi uhakika wa kupata mtoto.
 
Pole, PCOS ambayo ni polystic ovarian syndrome inahitaji kula chakula bora na mazoezi ya kutosha. Jitahidi kuepuka vyakula vya kisasa
 
Pole sana ingawa umenikera kwamba "mawifu wamechachamaa".

Hii inaonyesha una mume ambae hana uwezo wa kujisimamia hadi ndugu wamuamulie.
Ebu sikiliza binti......

Mume ni wakwako pekeyako, na mawifi mkiwaendekeza basi hiyo ndoa yenu haito dumu.
Lakini pia.....

Mtoto ni majaaliwa, kuolewa/kuoa haikupi uhakika wa kupata mtoto.
Nashukuru Sana kwa ushauri mzuri!
 
Habari Ndugu zangu!

Nimetafuta ujauzito kwa muda mrefu bila ya mafanikio! Nimekutana na Daktari kaniambia Nina PCOS kwenye ovary mbili zote!

Amenipatia metrofromin na kaniambia tu nifanye mazoezi! Japo bado sioni mafanikio!

Jamani ninahitaji Sana wa kupata watoto umri wangu umesonga, Ndoa mawifi wamechachamaa!

Nisaidieni wapendwa, kwa mliowahi kutibu ama kupitia hii Hali mmefanyaje mkapata watoto?

Pole Sana mkuu

Ikiwa umejaribu njia za kisasa haujafanikiwa .

Endapo nikienda Bukoba ntakuletea dawa ya Asili utumie ,

Gharama zake itakuwa bure hii inaweza kuchukua two moths from now Ila ikiwa sitopata safari ntakujulisha

Naimani utafanikiwa.
 
Nitakushukuru Sana jamani
 
Habari Ndugu zangu!

Nimetafuta ujauzito kwa muda mrefu bila ya mafanikio! Nimekutana na Daktari kaniambia Nina PCOS kwenye ovary mbili zote!

Amenipatia metrofromin na kaniambia tu nifanye mazoezi! Japo bado sioni mafanikio!

Jamani ninahitaji Sana wa kupata watoto umri wangu umesonga, Ndoa mawifi wamechachamaa!

Nisaidieni wapendwa, kwa mliowahi kutibu ama kupitia hii Hali mmefanyaje mkapata watoto?
Hili tatizo lako Ni topic kabisa ushauri wangu mtafute gyno specialist mzur then fuata maelekezo ya kitaalam atakayo kuelekeza..

All in all ngoja nipapase papase japo mawili matatu wewe Ni bonge? Ndio au hapana
*I encourage you weight loss
*Diet modifications
*Exercises

Kuhusu tatizo lako madawa Sana Sana yaliyo saidia wengi Ni Clomiphene citrate tabs • Tamoxifen • Clomiphene+Metformin
Ndio maana nimeona docta wako kakuandikia utumie metformin tabs

NB.
Mimi pia nilioa na tukakaa na wife muda mref mwaka na miezi kadhaa bila ujauzito mpaka Kuna mmama wa makamo Ni rafik yangu akaanza kunitania ma P2 TABS hayo wakat mtoto wa watu MLOKOLE na hajawai hata kuyameza tukashikamana kusali pia diet modifications ili saidia Sana.
 
Yaaani Mungu akubariki, hivyo nikifanya mapendekezo haya kuna uwezekano wa kupata mtoto?
 
Inaonekana ni kama vile ushajikatia tamaa. We are soul beings na tuna nguvu kubwa sana ya kuweza kujiaminisha na hata kuamru mambo na yakawa. Unapofanya haya mambo unayoshauriwa na wataalamu hapa, inakubidi pia uamini kwa moyo wako wote kuwa sasa unakwenda kupata mtoto. Hata unapopiga magoti na kumlilia Mungu wako, fanya hivyo kwa imani yote. Lakini kama umeshajikatia tamaa; na unaamini kwamba huwezi kupata mtoto basi utakunywa madawa na kufanya maombi mpaka uchoke!

Rekebisha kwanza mind set yako nkoyi!

➡️➡️➡️ Kuna dawa za kunywa za kienyeji hasa kule kwa Wahaya na Wasukuma, ukitengenezewa ukanywa ndani ya miezi mitatu kama huna matatizo makubwa kinzifu basi unapata mtoto. Unaweza kucheki na upande huo. Na huu siyo uchawi. Ni mizizi ya miti tu inachimbwa na kuchemshwa pamoja na majani fulani inachanganywa pamoja. Unakuwa unatia na kijiko kimoja cha sukari unakunywa kama chai asubuhi na jioni kwa wiki moja kila mwezi mpaka utakapopata mimba.
 
Ahsante kwa kunishauri vizuri.
 
Back
Top Bottom