Msaada wa matibabu ya STD

Msaada wa matibabu ya STD

Hakuna kipimo kinaitwa blood-neg labda km alimaanisha PITC (ukimwi)

By the way km umezidiwa tafuta cefixime 400mg start..endelea na madoxycillini uliopewa au katafute ceftriaxone sindano undungwe. Ila mimi watu km nyinyi wanzinzi nawapenda napiga lisindano kama lile la ng'ombe linalouma Penaduu😄😄😄😄😄

Usijali utapona mimi mwenyewe namalizia kesho doxy zangu za mwisho ugonjwa nilioupata siku ya derby 😄😄yanga na simba
 
Wameniambia hamna shida yeyote
Hata Mimi naona hamna shida kubwa Ila jiandae kukatwa korodani maana hazina muda zitaoza.
Karne hii Kaka unatembea na mwanamke asiye mkeo nyama nyama? Halafu kwa maumivu ya tumbo sio ajabu ulilamba chumvi kidogo.
Wewe hata ukifa taifa halina hasara.
 
Hakuna kipimo kinaitwa blood-neg labda km alimaanisha PITC (ukimwi)

By the way km umezidiwa tafuta cefixime 400mg start..endelea na madoxycillini uliopewa au katafute ceftriaxone sindano undungwe. Ila mimi watu km nyinyi wanzinzi nawapenda napiga like na ng'ombe lilauma Penaduu😄😄😄😄😄

Usijali utapona mimi mwenye namalizia kesho doxy zangu za mwisho ugonjwa nilioupata suki ya derby 😄😄yanga ba simba
Hicho kipimo nadhani ni cha Urine Analysis mkuu,moja wapo ya parameter ni Blood.
 
Hakuna kipimo kinaitwa blood-neg labda km alimaanisha PITC (ukimwi)

By the way km umezidiwa tafuta cefixime 400mg start..endelea na madoxycillini uliopewa au katafute ceftriaxone sindano undungwe. Ila mimi watu km nyinyi wanzinzi nawapenda napiga like na ng'ombe lilauma Penaduu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Usijali utapona mimi mwenye namalizia kesho doxy zangu za mwisho ugonjwa nilioupata suki ya derby [emoji1][emoji1]yanga ba simba
Penaduu... daaaah kitambo sana
 
Hicho kipimo nadhani ni cha Urine Analysis mkuu,moja wapo ya parameter ni Blood.
No hakuna kipimo hicho hospital unapoongelea damu ni sample km kinyesi tu unaweza pima amoeba,typhoid n.k
Kwenye damu KUNA kipimo vingi ndani yake kuna HB,(Haemoglobin in blood),FBP( full blood picture), Blood group N.k

Na hata hicho Hakuna kipimo kiitwe blood na Majibu yasome negative...labda nahisi alimaanisha PITC
 
Hiki kipimo kinaitwaje?
Chemstrip1.jpg
 
Back
Top Bottom