Mkuu mnaleta usugu wa dawa ..azingatie neno AZUMA
Nenda hospitali nyingine kubwaWameniambia hamna shida yeyote
Naomba kwa anayejua dawa nyingine tofauti na nilizopewa Mana nimepewa Cipro na diclopaSasa unataka nini?
Thanks alotPole sana kachukue hizi dawa kwa hilo tatizo Tab.Cefixime 400mg bd for14/7
Tab.metronidazole 400mg bd for 14/7
cap.doxyline10mg bd for 14/7
NB
Usisahu kuja kunipa Pesa ya soda
Bado hujampa anti inflammation..Pole sana kachukue hizi dawa kwa hilo tatizo Tab.Cefixime 400mg bd for14/7
Tab.metronidazole 400mg bd for 14/7
cap.doxyline10mg bd for 14/7
NB
Usisahu kuja kunipa Pesa ya soda
Pamoja sanaThanks alot
Hata Mimi naona hamna shida kubwa Ila jiandae kukatwa korodani maana hazina muda zitaoza.Wameniambia hamna shida yeyote
Hicho kipimo nadhani ni cha Urine Analysis mkuu,moja wapo ya parameter ni Blood.Hakuna kipimo kinaitwa blood-neg labda km alimaanisha PITC (ukimwi)
By the way km umezidiwa tafuta cefixime 400mg start..endelea na madoxycillini uliopewa au katafute ceftriaxone sindano undungwe. Ila mimi watu km nyinyi wanzinzi nawapenda napiga like na ng'ombe lilauma Penaduu๐๐๐๐๐
Usijali utapona mimi mwenye namalizia kesho doxy zangu za mwisho ugonjwa nilioupata suki ya derby ๐๐yanga ba simba
Penaduu... daaaah kitambo sanaHakuna kipimo kinaitwa blood-neg labda km alimaanisha PITC (ukimwi)
By the way km umezidiwa tafuta cefixime 400mg start..endelea na madoxycillini uliopewa au katafute ceftriaxone sindano undungwe. Ila mimi watu km nyinyi wanzinzi nawapenda napiga like na ng'ombe lilauma Penaduu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Usijali utapona mimi mwenye namalizia kesho doxy zangu za mwisho ugonjwa nilioupata suki ya derby [emoji1][emoji1]yanga ba simba
UTI Kali Sana Uliyonayo Inaweza Kuyeyusha Choo Endapo Utakojoa HovyoNi hospital ya wilaya nimepewa Cipro na diclopa
No hakuna kipimo hicho hospital unapoongelea damu ni sample km kinyesi tu unaweza pima amoeba,typhoid n.kHicho kipimo nadhani ni cha Urine Analysis mkuu,moja wapo ya parameter ni Blood.
Ndio lisindano la wazinziPenaduu... daaaah kitambo sana
Nikiwa na taaluma yangu ndogo tu ya sayansi... Hilo ni SWENDE MKUU ama Syphilis kimomboWameniambia hamna shida yeyote katika mkojo
Hiki kipimo kinaitwaje?No hakuna kipimo hicho hospital unapoongelea damu ni sample km kinyesi tu unaweza pima amoeba,typhoid n.k
Kwenye damu KUNA kipimo vingi ndani yake kuna HB,(Haemoglobin in blood),FBP( full blood picture), Blood group N.k
Na hata hicho Hakuna kipimo kiitwe blood na Majibu yasome negative...labda nahisi alimaanisha PITC