Habari wana JF
Mimi ni kijana wa kiume...kwa muda wa wiki kadhaa sasa nimekuwa nawashwa kwenye korodani,hali hii imezidi na sasa kumetokea michubuko upande wa pembe za korodani (kulia na kushoto)...na hali ya ngozi kuwasha imepanda hadi kwenye uume sasa.....nimekuwa nikiambiwa mara maji ya chumvi,nimeacha kutumia holla...
SASA SIJAJUA TATIZO NI NINI...NAOMBA USHAURI ILI NIPATE WALAU CLUES WAPI PA KUANZIA.
Natanguliza Shukrani.
Benaire.
Nikijikuna napata shufaa....hakuna vipele ila upande wa mpaka wa korodani na paja kuna michubuko ambayo ukinyanyua korodani kuitazama unakuwa kama unapachana...maumivu yake....!
Only that mkuu.....
Sijakuelewe ukisema shufaa unamaanisha nin? Ila jaribu kutumia "cotrimozole" hii ni dawa yakupaka itakusaidia na kila ukitoka kuoga ujifute vyema huko chini