Msaada wa matlab

Msaada wa matlab

MKOBA2011

Senior Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
142
Reaction score
27
Wanajamii forum hope wote wazima.Napatikana Ubungo karibu na stand kuu ya mabasi ya mikoani.Nahitaji mtu yeyote ambae ana utaalam wa kutumia programme ya matlab kuna vitu aje anisaidie awe na uzoefu na kusimulate mathematical concepts malipo akija tutaongea.Number yangu ni 0755-520976 nicheck.Asubuhi njema.
 
mkuu kama uko tayari niutakusaidia. unataka simulation ya kitu gani nipe mfano.
 
Mkuu nina file ya word ya page mbili sijui jinsi ya kuaatach humu nipe e-mail yako nikutumie ili uangalie
 
Back
Top Bottom