NAOMBA MSAADA WENU KUJUA YANAPOPATIKANA MATOFALI YA CMENTI YALIYOCHANGANYWA NA UDONGO ......interloking bricks !a Je n bora kiasi gani na bei ikoje........
NAWASILISHA KWA MSAADA PLEASE!
Mkuu ungesema uliko
Kama uko hapa London
Ni Pm tufanye kaz![/QUOTE
Kamanda,
We tulia hukohuko London, wenzio tunatafuta tutokeje huku MBAGALA KIMBAGULILE
ahsante mkuuingia site hii brick and block machine manufacturers | hydraform. Utapata maelezo mengi
ahsante mdaunenda pale mwenge kwenye roundd about kuna watu wanajiita nhbra ipo kwenye yale maduka ya vifaa vya ujenzi
wana mashine na pia wanazo tofali hizo