Msaada wa matofali ya cemement na udongo

Msaada wa matofali ya cemement na udongo

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
NAOMBA MSAADA WENU KUJUA YANAPOPATIKANA MATOFALI YA CMENTI YALIYOCHANGANYWA NA UDONGO ......interloking bricks !a Je n bora kiasi gani na bei ikoje........
NAWASILISHA KWA MSAADA PLEASE!
 
NAOMBA MSAADA WENU KUJUA YANAPOPATIKANA MATOFALI YA CMENTI YALIYOCHANGANYWA NA UDONGO ......interloking bricks !a Je n bora kiasi gani na bei ikoje........
NAWASILISHA KWA MSAADA PLEASE!

Mkuu ungesema uliko
Kama uko hapa London
Ni Pm tufanye kaz!
 
nenda pale mwenge kwenye roundd about kuna watu wanajiita NHBRA IPO KWENYE YALE MADUKA YA VIFAA VYA UJENZI
WANA MASHINE NA PIA WANAZO TOFALI HIZO
 
nenda pale mwenge kwenye roundd about kuna watu wanajiita nhbra ipo kwenye yale maduka ya vifaa vya ujenzi
wana mashine na pia wanazo tofali hizo
ahsante mdau
 
Back
Top Bottom