Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua kijiko kimoja cha habatsoda changanya na vijiko viwili vya asali mbichi, tumia asubuhi na jioni, utapona inshallahwakuu nimepitia duka flani ikabidi ninunue habati soda maana hua naskia ni dawa nzuri kwa magonjwa mengi
wiki hii tumbo linanisumbua
ningependa kujua dozi ya hii dawa iko vipi?
msaada
Chukua kijiko kimoja cha habatsoda changanya na vijiko viwili vya asali mbichi, tumia asubuhi na jioni, utapona inshallah