Msaada wa matumizi ya habati soda

Msaada wa matumizi ya habati soda

Markomx

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2016
Posts
703
Reaction score
702
wakuu nimepitia duka flani ikabidi ninunue habati soda maana hua naskia ni dawa nzuri kwa magonjwa mengi

wiki hii tumbo linanisumbua

ningependa kujua dozi ya hii dawa iko vipi?

msaada
 
wakuu nimepitia duka flani ikabidi ninunue habati soda maana hua naskia ni dawa nzuri kwa magonjwa mengi

wiki hii tumbo linanisumbua

ningependa kujua dozi ya hii dawa iko vipi?

msaada
Chukua kijiko kimoja cha habatsoda changanya na vijiko viwili vya asali mbichi, tumia asubuhi na jioni, utapona inshallah
 
Back
Top Bottom