M Markomx JF-Expert Member Joined Apr 23, 2016 Posts 703 Reaction score 702 Oct 4, 2016 #1 wakuu nimepitia duka flani ikabidi ninunue habati soda maana hua naskia ni dawa nzuri kwa magonjwa mengi wiki hii tumbo linanisumbua ningependa kujua dozi ya hii dawa iko vipi? msaada
wakuu nimepitia duka flani ikabidi ninunue habati soda maana hua naskia ni dawa nzuri kwa magonjwa mengi wiki hii tumbo linanisumbua ningependa kujua dozi ya hii dawa iko vipi? msaada
Tape measure JF-Expert Member Joined Nov 26, 2015 Posts 1,981 Reaction score 3,604 Oct 4, 2016 #2 Huwa unaskia kutokea wapi? Siku ingine ukiskia tena usipoelewa uliza hapo hapo
M Markomx JF-Expert Member Joined Apr 23, 2016 Posts 703 Reaction score 702 Oct 4, 2016 Thread starter #3 naskia seem.nying mkuu
M MZEE RAZA JF-Expert Member Joined Feb 19, 2015 Posts 3,464 Reaction score 2,454 Oct 4, 2016 #4 Markomx said: wakuu nimepitia duka flani ikabidi ninunue habati soda maana hua naskia ni dawa nzuri kwa magonjwa mengi wiki hii tumbo linanisumbua ningependa kujua dozi ya hii dawa iko vipi? msaada Click to expand... Chukua kijiko kimoja cha habatsoda changanya na vijiko viwili vya asali mbichi, tumia asubuhi na jioni, utapona inshallah
Markomx said: wakuu nimepitia duka flani ikabidi ninunue habati soda maana hua naskia ni dawa nzuri kwa magonjwa mengi wiki hii tumbo linanisumbua ningependa kujua dozi ya hii dawa iko vipi? msaada Click to expand... Chukua kijiko kimoja cha habatsoda changanya na vijiko viwili vya asali mbichi, tumia asubuhi na jioni, utapona inshallah
M Markomx JF-Expert Member Joined Apr 23, 2016 Posts 703 Reaction score 702 Oct 5, 2016 Thread starter #5 MZEE RAZA said: Chukua kijiko kimoja cha habatsoda changanya na vijiko viwili vya asali mbichi, tumia asubuhi na jioni, utapona inshallah Click to expand... asante mkuu,ipi ni nzuri ya mafuta au unga?samahani kwa usumbufu mkuu
MZEE RAZA said: Chukua kijiko kimoja cha habatsoda changanya na vijiko viwili vya asali mbichi, tumia asubuhi na jioni, utapona inshallah Click to expand... asante mkuu,ipi ni nzuri ya mafuta au unga?samahani kwa usumbufu mkuu