Msaada wa mawasiliano ya hospitali ya CCBRT

Msaada wa mawasiliano ya hospitali ya CCBRT

Good Father

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
10,321
Reaction score
18,574
Habari zenu wakuu, pole na majukumu na heri ya mwaka mpya 2015.

Naomba nisaidiwe kupata mawasiliano ya hospital ya CCBRT, nina mgonjwa anatakiwa kutibiwa hapo ila makadirio ya gharama sijayapata hivyo naomba msaada wa mawasiliano ili niulizie gharama.

Asanteni sana.
 
Ni pm nikupe namba ya jamaa mmoja anafanyia kazi pale
 
Back
Top Bottom