Msaada wa mawasiliano ya simu na gazeti lolote la Tanzania

Msaada wa mawasiliano ya simu na gazeti lolote la Tanzania

Baba Nla

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2018
Posts
772
Reaction score
2,505
Wakuu, poleni na Lockdown ya mtandao hope watarudisha baada ya wanachokitaka kutimia.

Ninataka kuweka tangazo katika moja ya gazeti hapa nchini, hii ikiwa ni hatua ya pili katika jambo ninalolifuatilia, ni hatua ya lazima kwamba tangazo lazima liwepo kwenye gazeti then utaratibu mwingine uendelee.

Nimekuja hapa kuomba yoyote mwenye mawasiliano ya simu na gazeti lolote iwe Majira, Mtanzania au HabariLeo niwasiliane nao maana nimetumia njia ya Email naona hazijibiwi.

Natanguliza Shukrani.
 
Back
Top Bottom