lamalu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 612
- 775
bm ya branch manager ni nini
Nilitaka kuandika BM yaani branch manager,tuachane na hilo nadhan we hujawah fanya makosa ya kiuandishi,plz nitajie jina la tawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bm ya branch manager ni nini
Mkuu hayo ni matatizo ya kiuandishi nilitaka kuandika yaan branch manager au hata hilo ni tatizo mkuu,njoo na hoja acha kuparamia mambo mkuu
Mkuu hayo ni matatizo ya kiuandishi nilitaka kuandika yaan branch manager au hata hilo ni tatizo mkuu,njoo na hoja acha kuparamia mambo mkuu
mkuu acha kunitisha niambie kama una uhakika nikimbie na hela zao maana mwezi wa kumi mwaka jana nilichukua milioni 3we kama ni manager basi hilo shirika linaelekea kufa mkuu. Kwanza huo mkopo wa pride ni utapeli tu
mkuu acha kunitisha niambie kama una uhakika nikimbie na hela zao maana mwezi wa kumi mwaka jana nilichukua milioni 3
OK TUACHANE NA HOJA ZA KITOTO BWANA LAMALU KIUFUPI WATANZANIA WALIO WENGI HAWAITAJI MKOPO MKUBWA KUANZA KILIMO KWA SABABU HAwana vitu vinavyotakiwa na mabenki kwa hiyo hata kuanza na laki mbili au tatu inaweza kusaidia hebu kuwa muwazi tetea kampuni yako kwa kujiamini ,sema je hakuna watu kwenye vikundi wanaokopa shilingi laki moja kwa kuanzia wakati kima CHA MWANZO NI LAKI TATU ...pia kuna mikopo ya nyumba n,pampu na solar tafadhali jiamini au shirika halikupi uhakika wa maisha?
NENDA MATAWI YOTE ANZA NA MOROGORO THEN BABATI NA SINGIDA