Msaada wa mawazo anayeju taasisi ya kifedha inayotoa mikopo kwa wakulima.

Mkuu hayo ni matatizo ya kiuandishi nilitaka kuandika yaan branch manager au hata hilo ni tatizo mkuu,njoo na hoja acha kuparamia mambo mkuu

we kama ni manager basi hilo shirika linaelekea kufa mkuu. kwanza huo mkopo wa pride ni utapeli tu
 
Mkuu hayo ni matatizo ya kiuandishi nilitaka kuandika yaan branch manager au hata hilo ni tatizo mkuu,njoo na hoja acha kuparamia mambo mkuu

OK TUACHANE NA HOJA ZA KITOTO BWANA LAMALU KIUFUPI WATANZANIA WALIO WENGI HAWAITAJI MKOPO MKUBWA KUANZA KILIMO KWA SABABU HAwana vitu vinavyotakiwa na mabenki kwa hiyo hata kuanza na laki mbili au tatu inaweza kusaidia hebu kuwa muwazi tetea kampuni yako kwa kujiamini ,sema je hakuna watu kwenye vikundi wanaokopa shilingi laki moja kwa kuanzia wakati kima CHA MWANZO NI LAKI TATU ...pia kuna mikopo ya nyumba n,pampu na solar tafadhali jiamini au shirika halikupi uhakika wa maisha?
NENDA MATAWI YOTE ANZA NA MOROGORO THEN BABATI NA SINGIDA
 
we kama ni manager basi hilo shirika linaelekea kufa mkuu. Kwanza huo mkopo wa pride ni utapeli tu
mkuu acha kunitisha niambie kama una uhakika nikimbie na hela zao maana mwezi wa kumi mwaka jana nilichukua milioni 3
 
mkuu acha kunitisha niambie kama una uhakika nikimbie na hela zao maana mwezi wa kumi mwaka jana nilichukua milioni 3

Pride hiyo ya vijijini imeshakufa siku nyingi we sepa tu na hizo pesa wajanja wamelamba chao wamesepa trust me niko na jamaa wa T.I .B wanalalamika pride wameshindwa kulipa mkopo wao wa kukopesha wakulima.
 

Kwa hiyo mikopo uliotaja utakuwa ni mteja wa babati,thanx mkuu wacha nimchek sanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…