Kuna rafiki yangu ameolewa miaka 5iliyopita amepata tatizo anashindwa alitatuaje coz bado hata hospitali hajaenda alianza period tarehe 29.03.2010...baada ya.....hapo akakutana kimwili na mume wake na pia anamwanaume mwingine nje...sasa baada ya period tarehe 11 amekutana na huyo mwanaume wake wa nje sasa mpaka leo hajaon a period yake kupima na UPT...imeonyesha positive....SWALI NI HILI...je possibility kubwa mimba itakua ya nani,mume au wa nje..naomba jibu hili liwe kulingana na zile siku za hatari...na je vipimo vile vya hospitali huwa vinaonyesha mimba ina muda gani...yani je huwa vinaonyesha mimba ina siku ngapi?.........................