Msaada wa mawazo juu ya hili tafadhali

Msaada wa mawazo juu ya hili tafadhali

ufumawicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
504
Reaction score
209
Mimi ni mwajiriwa katika kampuni moja hapa jijini Mbeya kwa muda wa mwezi mmoja sasa.Nina uhakika wa kuwa naweka shilingi 200000/=kila mwezi.Nataka pesa hiyo niiweke kwenye mradi.Tatizo sijui nifanye biashara gani na hapa Mbeya mimi bado ni mgeni.Nisaidieni wadau nifanye biashara gani.Ila uhakika wa kila mwezi kuuongezea huo mradi sh.200000/= upo kabisa.
 
Endelea kuweka hizo fedha, kwa muda utakaoendelea kukaa hao Mbeya utagundua tu ni biashara gani inafaa. Siijui vizuri Mbeya, hivyo uwepo wako hao utachangia kujua fursa ipi ya biashara inalipa.
 
Back
Top Bottom