ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Mimi ni mwajiriwa katika kampuni moja hapa jijini Mbeya kwa muda wa mwezi mmoja sasa.Nina uhakika wa kuwa naweka shilingi 200000/=kila mwezi.Nataka pesa hiyo niiweke kwenye mradi.Tatizo sijui nifanye biashara gani na hapa Mbeya mimi bado ni mgeni.Nisaidieni wadau nifanye biashara gani.Ila uhakika wa kila mwezi kuuongezea huo mradi sh.200000/= upo kabisa.