Msaada wa mawazo kuhusu biashara ya Mpunfa maeneo ya Mpanda

Msaada wa mawazo kuhusu biashara ya Mpunfa maeneo ya Mpanda

KALUMENYA

Member
Joined
Feb 16, 2019
Posts
76
Reaction score
67
Jamani ambao wamewahi kufanya biashara ya mpunga hasa maeneo ya Mpanda naomba wanipe uzoefu kidogo

Gunia sh ngapi, changamoto zake, gharama za usafirishaji mfano kutoka Mpanda hadi Mwanza na mambo mengine
 
Back
Top Bottom