Mdau nafikiri labda cjaeleweka nikwamba siitaji kusoma computer ili niweze kuitumia ktk shughuli yaan microsoft ofice na kama hayo. nafikiria kusoma computer maana ya comp sayans, kutengeneza progrms, kutengeneza computer maana ya atm na v2 vikubwa kama hivyo, labda kuongezea tu pato langu kwa mwezi toka ktk miradi yangu ni 400,000. ambayo haitanibana kama ntaamua kusoma.
Mkuu kozi za kompyuta zikoo nyingiiiii sana zaidi . Ukweli kusoma komyuta sayansi kwako unaweza kuwa unapoteza muda. Na mwisho wa siku unaweza kusoma kompyuta sayansi usiandike hata program moja.. Wako wengi tu na ni %kubwa wenye Bsc za Comp Science lakini hawaandiki program . wako kwenye madesk BOT, Tigo,Zain,Vodacom, Simbanet, TTCL ,UCC, Serikalini , kampuni binafsi.
Kazi nyingi wanzofanya waliojairia sana sana ni Kutroubleshoot mambo ya network,Kustroubleshoot program au Datababase.
Usijibane kusema kuandika program na kukarabati PC tu , IT world ina opportunity zaidi ya hizo. na moja ya opprtunity ni
NETWORKING .
Kwako NETWORKING naona inaweza kuwa nzuri zaidi ya Programming. Kuna opprtunity nyingine za
DATABASE, Geoaphica Information Systems(GIS), GRAPHICS, etc zipo nyingi sana. Unaweza kukuta hata kazi ulizokuwa unafanya zina IT opportunity within it ambayo haijawa na watu wengi.
Mfano tanzania hakuna
Information system Auditors wengi. Audotors wengi wanajua kukagua vitabu vya kihasibu.
Nacho kushauri ni kuwa soma Cerification Course za Microsoft kam
Microsoft cetified System Engineer Then fanyia mtihani upate cheti ambacho cheti chake kinakuuza kiajria kuliko vyeti vya vyuo au collge nyingi. Hiki cheti sio kazi rahisi kwa mtu ambaye huna practical experince utahitaji kupiga msuri hasa.
Nadhani
Internet kwako itakuwa ni Must ili uweze kujifunza zaidi ya yale utayojfunza darasani.
Kuna jamaa wanaitwa
Afroit.website yao inaweza kukupa mwanga pia. Kama uko dar nenda
Univeristy Computing Center
Nakutakia mafanikio. Kila la heri