Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,475
- 1,860
kama kuzini walishazini, na kama watoto kuzaliwa walishazaliwa, the issue should not be to judge issue ya uzinzi ambayo watoto hawakufanya bali wazazi, hawa watoto wasio na hatia wenyewe wamejikuta tu wamezaliwa wana haki yeyote katika mirathi? zipo sheria kadhaa zinazotumika kugawa mirathi tz ambazo nyingine zinawatambua watoto wa kambo kama wakihalalishwa na nyingine haziwatambui kabisa wao ni watoto haram na hawastahili kurithi. labda atueleze marehemu alikuwa anaishi maisha ya aina gani, ya kiislam, ya kimila au ya kisasa. baada ya hapo atapata majibu mazuri tu hapa. bofya SHERIA KWA KISWAHILIJamani mafundisho ya Uislam ni mazuri mno, ataeyafata hakutikani na mitihani ya kijinga kama hii.
Hakika zinaa ni uchafu na njia mbaya, tazama sasa majanga ya uzinifu haya.
kama kuzini walishazini, na kama watoto kuzaliwa walishazaliwa, the issue should not be to judge issue ya uzinzi ambayo watoto hawakufanya bali wazazi, hawa watoto wasio na hatia wenyewe wamejikuta tu wamezaliwa wana haki yeyote katika mirathi? zipo sheria kadhaa zinazotumika kugawa mirathi tz ambazo nyingine zinawatambua watoto wa kambo kama wakihalalishwa na nyingine haziwatambui kabisa wao ni watoto haram na hawastahili kurithi. labda atueleze marehemu alikuwa anaishi maisha ya aina gani, ya kiislam, ya kimila au ya kisasa. baada ya hapo atapata majibu mazuri tu hapa. bofya SHERIA KWA KISWAHILI
uko sahihi kabisa FaizaFox. hata kwenye kitabu chetu tumeandika hivyohivyo. mirathi ya kiislam inaongozwa moja kwa moja na Quran tukufu mwongozo ambao ulianza kutumika miaka mingi uislam ulipoanzishwa. haitakiwi kuongeza au kupunguza. sheria zilizochakachuliwa ni hizi ambazo haziwahusu waislam kama hizo za kimila na kiserikali. sasa inategemeana marehemu aliishi maisha ya namna gani. bofya SHERIA KWA KISWAHILIKiislam watoto wa zinaaa hawana mirathi yoyote kwa baba. Labda iwe aliwapa zawadi kabla hajafa, na hiyo si mirathi, mirathi hugaiwa mtu akisha kufa.
Kama mama yao yuko hai wangoje kumrithi mama tu.
Hayo ni kwa mujibu wa sharia za Kiislaam, sheria za kikafiri (serikali, maana serikali ni kafiri haina dini) na au za kipagani kuhusu hili sizijuwi.