Msaada wa mawazo kuhusu Mirathi kwa Mjane

Msaada wa mawazo kuhusu Mirathi kwa Mjane

Boniphace Bembele Ng'wita

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Posts
3,475
Reaction score
1,860
Wanasheria,
Nnavyo andika hivi nyumbani kunamgogoro mkubwa,mama yangu ni mjane,ambae marehem alimuachia nyumba na watt wawili kwenye ndoa.

Tofauti na hapo baba alizaa na wakina mama wengine zaidi ya5 na kunajumla ya watt zaidi ya 9 ambao walipatikana..

Tangu baba afariki hakukuwa na tatzo lolote, haijulikan nn kimetokea wameibuka ghafula na kutaka kuuza nyumba, wamemtukana mama,na kufanya fujo nyumban.
Hoja yangu kwenu wanasheria,ni je naweza kufanya nini kukomesha ghasia hii? 2,mm nko dar na mama yupo Geita, ntawezaje kumsaidia nikiwa huku dar? 3,nafac ya hao watt ipoje kwenye hyo mali maana wosia upo kimya?

Naombeni msaada
 
Hapo kwanza...ungetufahamisha mambo yafuatayo bro
1.ndoa ya baba na mama no ya kanixani,kimila,kiislamu
2.baba aliacha urithi
3.Baba amekua akiishi maisha gan?kidini au kimila....
Zaidi kaxome sheria ya ndoa ....... matrimonial property Division...
 
Ls man. Pole umefikia wapi? Ungeenda chukua hati za nyumba mfiche. Na DNA ifanyike pia. Kuna wosia? Mali zingine je?
 
Last edited by a moderator:
Katika dini ya Kiisilamu kuhusu masuala kama haya ya mirathi huwa hatupati tabu kutokana ya kuwa yameelezwa kwa ufasihi kabisa katika Qur'an.

Kwa Wakristo kwani mambo ya urathi hayamo kwenye Bible hata watoke watu ndio watunge sheria za urathi ? 🍊
 
Jamani mafundisho ya Uislam ni mazuri mno, ataeyafata hakutikani na mitihani ya kijinga kama hii.

Hakika zinaa ni uchafu na njia mbaya, tazama sasa majanga ya uzinifu haya.
 
Jamani mafundisho ya Uislam ni mazuri mno, ataeyafata hakutikani na mitihani ya kijinga kama hii.

Hakika zinaa ni uchafu na njia mbaya, tazama sasa majanga ya uzinifu haya.
kama kuzini walishazini, na kama watoto kuzaliwa walishazaliwa, the issue should not be to judge issue ya uzinzi ambayo watoto hawakufanya bali wazazi, hawa watoto wasio na hatia wenyewe wamejikuta tu wamezaliwa wana haki yeyote katika mirathi? zipo sheria kadhaa zinazotumika kugawa mirathi tz ambazo nyingine zinawatambua watoto wa kambo kama wakihalalishwa na nyingine haziwatambui kabisa wao ni watoto haram na hawastahili kurithi. labda atueleze marehemu alikuwa anaishi maisha ya aina gani, ya kiislam, ya kimila au ya kisasa. baada ya hapo atapata majibu mazuri tu hapa. bofya SHERIA KWA KISWAHILI
 
Kiislam watoto wa zinaaa hawana mirathi yoyote kwa baba. Labda iwe aliwapa zawadi kabla hajafa, na hiyo si mirathi, mirathi hugaiwa mtu akisha kufa.

Kama mama yao yuko hai wangoje kumrithi mama tu.

Hayo ni kwa mujibu wa sharia za Kiislaam, sheria za kikafiri (serikali, maana serikali ni kafiri haina dini) na au za kipagani kuhusu hili sizijuwi.
 
uko sahihi kabisa FaizaFox. hata kwenye kitabu chetu tumeandika hivyohivyo. mirathi ya kiislam inaongozwa moja kwa moja na Quran tukufu mwongozo ambao ulianza kutumika miaka mingi uislam ulipoanzishwa. haitakiwi kuongeza au kupunguza. sheria zilizochakachuliwa ni hizi ambazo haziwahusu waislam kama hizo za kimila na kiserikali. sasa inategemeana marehemu aliishi maisha ya namna gani. bofya SHERIA KWA KISWAHILI
 
Pole kwa Matatizo.
pamoja na majibu mazuri uliyopata tembelea blogu hii Hussein Sengu! | HAKI ZA WANAWAKE NA WATOTO NI HAKI ZA BINADAMU
katika blogu hiyo masuala ya mirathi na utaratibu wake kisheria yamechambuliwa.
pia fika katika vituo vya msaada wa kisheria vya;
1. Kituo cha sheria na haki za binadamu Ofisi ya Kinodoni
2. WLAC
3.TAWLA
4. unaweza pia kupiga hii namba 0800 780100 ni bure na utaongea na mwanasheria atakushauri

Utapata ushauri bureee na msaada zaidi.

KARIBU.

Call
Send SMS
Add to Skype
You'll need Skype CreditFree via Skype
 
Back
Top Bottom