Bijang
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 368
- 724
Amesimuliwa wife akiniomba ushauri nikaona nami nililete humu nipate msaada wa MAWAZO Kwan JF ni kisima cha maarifa HATUSHINDWII
Wife anafanya Kaz kwenye taasisi moja inayoshughulika na watoto, Sasa Kuna mtoto wa kike mmoja kamsimulia yanayomsibu ipo hivi huyo mtoto wa kike tumuite Jane(sio jina lake halisi)
Jane anasoma kidato cha nne ktk shule moja ya kutwa ya serikal, anaishi na mama mdogo wake (mdogo wa mama mzazi wa Jane) na baba mdogo. Mama mdogo anajishughukisha na Biashara Huwa anarud saa tatu usiku baba mdogo hana kazi yupo home tu.
Sasa baba mdogo amemtaman kimapenz huyu Jane ila Jane hataki, na anamtishia akiendelea kukataa atamfukuza home, na usiku mke akiwa amelala Baba mdogo Huwa anamfata chumban kwake na jane akitaka wafanyie mapemzi Jane Huwa anagoma.
Sasa hili suala limezidi anaogopa kumwambia mama mdogo mana ni mkali na anajua akimwambia atafukuzwa na kwao Jane mama mzazi hana uwezo wa kumsomesha ni mgonjwa mda mrefu, baba mzazi alishafariki siku nyingi akiwa la pili Jane, dada yake na kaka yake nao hawajiwez hawana kibarua cha kueleweka, na hao ndugu wanaishi mkoan tofauto na huu wa Jane.
Jane Aliomba akakae hostel baada ya kumshirikisha mama mmoja na kuahidi atamlipia gharama lkn baba mdogo akagoma, Sasa kinachosaidia Sasa hivi anasavaivu Kuna rafiki wakike wa Jane Huwa anaenda kwa akina Jane wanasoma Hadi usiku saa nne, lakini akiondoka bado shuhul ipo pale pale.
Na pia Jane anaogopa kuipeleka shuleni kesi sababu anaogopa watamwita baba mdogo au mama mdogo afu itajulikana na itakuwa mwisho wa yy kuishi pale, na lingine Jane analohofia hataki kuondoka kwa shari pale kwa mama mdogo na muda ulobaki ni michache amalize masomo yake , Sasa yupo njia panda.
Natanguliza shukran.
Naomben ushauri kwa hili wakuu