Msaada wa mawazo kwa hili jambo

Hapo hakuna mna nyingine ya kusaidika kama hataki kuondoka kwa ugomvi. Yan msaada wake hapo ni lazima mwisho wa siku utaleta mtafaruku tu. Kwa hiyo la kuanzia ni aende rafiki mzuri wa mama mdogo amweleze then wao wajue wanalishughulikia vipi hilo swala kwa pamoja.

Msaada wowote hapo lazima uwe na mwisho mbaya kwa mtoto. Wazazi tumwombe Mungu tamaa zingine tuziepuke aseeh.
 
Amwambie ba mdogo wake asubiri amalize shule alfu akimaliza aondoke zake Ili asigombanishe familia
 
Naomba Mungu anipe maisha marefu na afya ili niweze kuwatunza na kuwalinda watoto wangu hadi pale watakapo kuwa wakubwa na kujitambua.
 
anachoogopa ndicho kitakachomtokea. Akikubali kuzini na baba yake huyo alielaaniwa ndo atakuwa amewasha moto mkubwa kama anaogopa kuweka wazi ili kuepuka matatizo ndipo atasababisha matatizo zaidi bora aweke wazi ili asaidiwe. Kuendelea kumtunzia siri mwovu ni kukumbatia moto kifuani
 
Wabongo bn mnapenda kucomplicate mambo.

Sasa kama kamsimulia mke wako, kwa nn huyohuyo mke wake asimfuate mamdogo kiutu uzima kama huyo mtoto anamuogopa mamdogo wake?
 
Wabongo bn mnapenda kucomplicate mambo.

Sasa kama kamsimulia mke wako, kwa nn huyohuyo mke wake asimfuate mamdogo kiutu uzima kama huyo mtoto anamuogopa mamdogo wake?
Hili jambo linahita busara ya hali ya juu, sio simple kiivo
 
Asante wakuu kwa MAWAZO yenu naendelea kuyafanyia kaz
 
Kwani kumpa ba mdogo kuna shida gani, muhimu azingatie asipate mimba au magonjwa ya zinaa basi ila kumpa ampe tu haina tabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…