Msaada wa mawazo kwa rafiki yangu!

Wakuu. Kila anayeleta thread humu, hujidai anaomba msaada kwa ajili ya rafiki yake. Kwanini asiseme kuwa ni yeye binafsi ndio ana matatizo. Teh teh teh WaTZ bwana kazi kusema uongo tu.
 
Na bahati ni yeye asiyempenda mke, hapo ingekuwa ni mke hampendi mwanaume, mida hii ndoa ingekuwa mchegoni. Mwanamke akishakinai, lazima akutose tu , huwa hawana kuremba hawa viumbe!

safi sana kufanya na ni kweli kabisa wanawake wanavumilia sana bt ikifika mahali wamechoka ni ngume sana kugeuka nyuma
 

Naamini mtoa mada hajatoa full story, but i guess jamaa atakuwa ni materialist na ndio maana akamsahau wake wa zamani na kufunga nae ndoa huyo ambe hakuwa chaguo!
 
mi nahisi jamaa huenda amekutna na mambo ambayo hakuyategemea kuyakuta kwa huy mkewe,so baada ya kufunga ndoa na kukumbana na hvo vijimambo ndo na mapenzi nayo taratiiiibu yakaanza kusepa,dah ndoa hz zina mambo kweli!bora mi niendlee tu kuwepo km mwana fa.
 
Naamini mtoa mada hajatoa full story, but i guess jamaa atakuwa ni materialist na ndio maana akamsahau wake wa zamani na kufunga nae ndoa huyo ambe hakuwa chaguo!
Anaonekana hajutulia tu huyu jamaa kitendo cha kumwacha alieishi nae akaenda akaoa mwingine alafu tena akarudi kwa wazamani means hajitambui bado huyo!angeenda kutafuta mwingine at lest lkn karudia alikotoka yani hajielewi kbs uroho umemzidia tu!
 
Kwanza huyo wa zamani, nashangaa kampokea vipi, ningekuwa mimi ningemtoa mkuku na bastola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…