Msaada wa mawazo kwenye tangazo hili

Msaada wa mawazo kwenye tangazo hili

Mduzi wa mambo

New Member
Joined
Oct 18, 2023
Posts
3
Reaction score
3
Habari jamani kuna TANGAZO la kazi chuo kikuu huria Tanzania ( OUT). Sasa kwenye tangazo wamesema barua zote ziwe addressed na anwani yao

Na tuombe kupitia ajira portal na imezoeleka ajira zinazo ombwa kwa ajira portal tunaweka address ya UTUMISHI

Screenshot_2024-05-23-17-16-47-80.jpg
 
Habari jamani kuna TANGAZO la kazi chuo kikuu huria Tanzania ( OUT). Sasa kwenye tangazo wamesema barua zote ziwe addressed na anwani yao

Na tuombe kupitia ajira portal na imezoeleka ajira zinazo ombwa kwa ajira portal tunaweka address ya UTUMISHI

View attachment 2997530
Usifanye kwa mazoea fuata tangazo linavyosema,
Si hao tu mbona taasisi nyingi zinafanya ivo,una adress kwao lakini unaomba kwenye ajira portal
 
Anuani yako kulia
Anuani hiyo waliokupa kushoto...usiweke ile ya psrs...andelea kutema yai chini
 
Back
Top Bottom