Msaada wa mawazo kwenye uchaguzi bora wa pc kati ya Hp na lenovo kwa zinazofanana specs

Mesorphine

Member
Joined
Oct 11, 2020
Posts
75
Reaction score
63
Hello wanajamii forum.
Naomba mnisaidie mawazo katika hizi pc hapa chini, ipi itanifaa kwa vielelezo nilivyoweka mwisho ikiwa zote zinauzwa bei sawa

1. Lenovo
Model: idealpad slim 14AMNA
size: 14 inch
Processor: AMD RYZEN 5 40
RAM : 8GB
HARD DRIVE: 512 GB SSD

2. HP
MODEL: 240R G10
SIZE: 14 Inch HD
PROCESSOR: Intel core 3 100U
Ram: 8GB
Hard drive: 512GB SSD

3. Lenovo
Model: Lenovo V14 IRL
Screen Size: 14 inch FHD
PROCESSOR: Intel core I3 1315V
Ram: 8GB
Hard drive: 512 GB SSD

Zote nimeulizia sehemu moja bei zao ni Tsh. 1,699,000/=.

Nichukue ipi ambayo
1. Speed
2. Inakaa na chaji mda mrefu
3. Lifespan kubwa
4. Walau nyembamba

Ahsanteni.
 
Kwa maoni yangu, ningemshauri uchukue Lenovo V14 IRL (Core i3 13th Gen), hasa kama matumizi yako ni ya kawaida kama browsing, Microsoft Office, online meetings na kazi nyingine za kila siku.

Hata hivyo, HP 240R G10 yenye Core 3 100U nayo ni nzuri, na inaweza kuwa na ufanisi mzuri wa matumizi ya betri. Kuhusu Lenovo IdeaPad Slim yenye Ryzen 5, ningehitaji kujua model kamili ya processor ili kuilinganisha kwa usahihi.

Kabla ya kufanya maamuzi, zingatia mambo haya:

  • Speed: Processor, aina ya SSD na RAM vina mchango mkubwa.
  • Battery: Inategemea ukubwa wa betri, processor na matumizi.
  • Lifespan: Ubora wa ujenzi, mfumo wa kupooza na namna utakavyoitunza.
  • Muonekano: IdeaPad Slim inaweza kuwa chaguo zuri kwa mtu anayetaka laptop nyembamba na inayobebeka kirahisi.

Pia, kwa bei ya Tsh 1,699,000, ningeshauri uangalie uwezekano wa kupata RAM ya 16GB badala ya 8GB, hasa kama RAM inaweza kuongezwa.

Muhimu: Usinunue kwa kuangalia jina la HP au Lenovo pekee. Hakikisha unajua model kamili ya processor, uwezo wa betri na kama RAM inaweza kuongezwa.
 
Muhimu: Usinunue kwa kuangalia jina la HP au Lenovo pekee. Hakikisha unajua model kamili ya processor, uwezo wa betri na kama RAM inaweza kuong

Kwa maoni yangu, ningemshauri uchukue Lenovo V14 IRL (Core i3 13th Gen), hasa kama matumizi yako ni ya kawaida kama browsing, Microsoft Office, online meetings na kazi nyingine za kila siku.

Hata hivyo, HP 240R G10 yenye Core 3 100U nayo ni nzuri, na inaweza kuwa na ufanisi mzuri wa matumizi ya betri. Kuhusu Lenovo IdeaPad Slim yenye Ryzen 5, ningehitaji kujua model kamili ya processor ili kuilinganisha kwa usahihi.

Kabla ya kufanya maamuzi, zingatia mambo haya:

  • Speed: Processor, aina ya SSD na RAM vina mchango mkubwa.
  • Battery: Inategemea ukubwa wa betri, processor na matumizi.
  • Lifespan: Ubora wa ujenzi, mfumo wa kupooza na namna utakavyoitunza.
  • Muonekano: IdeaPad Slim inaweza kuwa chaguo zuri kwa mtu anayetaka laptop nyembamba na inayobebeka kirahisi.

Pia, kwa bei ya Tsh 1,699,000, ningeshauri uangalie uwezekano wa kupata RAM ya 16GB badala ya 8GB, hasa kama RAM inaweza kuongezwa.

Muhimu: Usinunue kwa kuangalia jina la HP au Lenovo pekee. Hakikisha unajua model kamili ya processor, uwezo wa betri na kama RAM inaweza kuongezwa.
Ahsante mr kwa kunipa mawazo ya pakuanzia.
Information za battery sijafanikiwa ila mwenye duka ndio specs alizoonesha tu hizo na mimi nikazileta kwenu japo wengi wananishauri
Lenovo V14 IRL Au Hp 240R G10

sasa changamoto napata yupi ana thickness ndogo na nyepesi kuliko mwenzake na speed kwenye utendaji kazi wake
 
Chukua Lenovo hp ni takataka kwani zina tabia ya kuzima mazima ghafla na haziwaki tena,sisi ofisini kwetu tulipewa mpyaaaa karibu zote zimekufa tena kwa tatizo linalifanana
Pole,
Jua tu 10% ilihusika.
Hp ni brand kubwa mzee, hawawezi fanya uduanzi.

Lenovo baada ya kuanza kupata soko, na wao wameanz leta mizinguo
 
Ahsante mr kwa kunipa mawazo ya pakuanzia.
Information za battery sijafanikiwa ila mwenye duka ndio specs alizoonesha tu hizo na mimi nikazileta kwenu japo wengi wananishauri
Lenovo V14 IRL Au Hp 240R G10

sasa changamoto napata yupi ana thickness ndogo na nyepesi kuliko mwenzake na speed kwenye utendaji kazi wake
Karibu mkuu, lengo ni kupata laptop itakayokufaa kulingana na matumizi yako, si kuangalia brand pekee. Kati ya Lenovo V14 IRL na HP 240R G10, ningeshauri ulinganishe processor, RAM, SSD na uzito halisi wa kila kifaa. Kuhusu unene na uzito, ni vizuri kuthibitisha kwa specs rasmi za model husika kabla ya kufanya maamuzi. Kwa upande wa speed, processor na RAM vina mchango mkubwa. Pia, hakikisha unapata taarifa sahihi za battery life kutoka kwa muuzaji. Mwisho, chagua ile inayokidhi mahitaji yako na bajeti yako. Kila la heri mkuu.
 
Pole,
Jua tu 10% ilihusika.
Hp ni brand kubwa mzee, hawawezi fanya uduanzi.

Lenovo baada ya kuanza kupata soko, na wao wameanz leta mizinguo
Hakuna mahali popote nilipokaa juani,ofisi ni full AC,mzee wala siwapondei zaidi ya PC zimekufa tena zinazima ghafla halafu zinaua mashine mazima
 
Hello wanajamii forum.
Naomba mnisaidie mawazo katika hizi pc hapa chini, ipi itanifaa kwa vielelezo nilivyoweka mwisho ikiwa zote zinauzwa bei sawa

1. Lenovo
Model: idealpad slim 14AMNA
size: 14 inch
Processor: AMD RYZEN 5 40
RAM : 8GB
HARD DRIVE: 512 GB SSD

2. HP
MODEL: 240R G10
SIZE: 14 Inch HD
PROCESSOR: Intel core 3 100U
Ram: 8GB
Hard drive: 512GB SSD

3. Lenovo
Model: Lenovo V14 IRL
Screen Size: 14 inch FHD
PROCESSOR: Intel core I3 1315V
Ram: 8GB
Hard drive: 512 GB SSD

Zote nimeulizia sehemu moja bei zao ni Tsh. 1,699,000/=.

Nichukue ipi ambayo
1. Speed
2. Inakaa na chaji mda mrefu
3. Lifespan kubwa
4. Walau nyembamba

Ahsanteni.
Hizo pc zote hapo juu ni ghali na specs za ndogo mno compare na bei.

Una ulazima na laptop mpya?

Brand ya pc haimaanishi chochote sababu kila brand ina sub brand yake ambayo ina target watu Fulani.

Mfano Lenovo Ideapad ni laptop za bei rahisi hazina build quality nzuri, zinatumika plastic Tupu na most of time specs zake ni low-end.

Hizo laptop za juu binafsi Mimi nisingetoa zaidi ya laki 7 mpya ama laki 5 second hand, kuna laptop Kali za ThinkPad, Elite book, na workstation mbalimbali unapata kwa hio budget yako zenye specs za maana.

Kama unataka laptop nzuri kwa hio budget ama pengine ikazidi kidogo tafuta Laptop za intel lunar lake, zitakaa Sana na charge, perfomance kubwa Hasa graphics zinazo rival RTx 3050 huku ikila umeme kidogo.

Nikicheki kibongo bongo ya bei rahisi naona 1.9M ila I think mtaani probably ukapata chini kidogo ya hapo, online zimeshuka siku hizi.

Kuzipata search "256V" ama "226V". Hizi haziweji kuja na ram chini ya 16GB.

Alternative kwa bei rahisi tafuta Ryzen zenye Radeon GPU, kama Ryzen 7 6800U, Ryzen 7 7840U etc hizi zitakua around 1-1.5M kibongo bongo, sio nzuri kama intel lunar lake Ila itazipita intel zote gen ya 14 kushuka.

Ukikosa Kabisa minimum intel zenye XE graphics (gen ya 11 kupanda) ama Ryzen zenye vega graphics.

Tukirudi kwenye Brand angalia matumizi yako.
1. Kama unataka Laptop za Alinunua babu mpaka mjukuu anatumia tafuta workstation kama Dell precision, Lenovo ThinkPad P series, HP Z dragonfly etc, si nzuri kimuonekano ila zimetengenezwa kuvumilia mengi.

2. Kama unataka za kuuzia sura, laptop nyembamba kwa HP angalia spectre, Dell XPS, Lenovo yoga etc.

3. Laptop za ofisi kama Elite book, ThinkPad za kawaida, latitude etc sio mbaya kama alternative ya workstation,

Hizo laptop za bei rahisi kama HP stream, Lenovo Ideapad, dell venue etc achana nazo kama budget ni kubwa.
 
Hello wanajamii forum.
Naomba mnisaidie mawazo katika hizi pc hapa chini, ipi itanifaa kwa vielelezo nilivyoweka mwisho ikiwa zote zinauzwa bei sawa

1. Lenovo
Model: idealpad slim 14AMNA
size: 14 inch
Processor: AMD RYZEN 5 40
RAM : 8GB
HARD DRIVE: 512 GB SSD

2. HP
MODEL: 240R G10
SIZE: 14 Inch HD
PROCESSOR: Intel core 3 100U
Ram: 8GB
Hard drive: 512GB SSD

3. Lenovo
Model: Lenovo V14 IRL
Screen Size: 14 inch FHD
PROCESSOR: Intel core I3 1315V
Ram: 8GB
Hard drive: 512 GB SSD

Zote nimeulizia sehemu moja bei zao ni Tsh. 1,699,000/=.

Nichukue ipi ambayo
1. Speed
2. Inakaa na chaji mda mrefu
3. Lifespan kubwa
4. Walau nyembamba

Ahsanteni.
Unataka kununua Core i3 kwa milioni moja na laki saba?

Wewe unastahili kuwekwa kitambaa chenye maji matakoni na kutandikwa fimbo. Hiyo si ni sawa na kununua IST kwa milioni 60.

It seems hata laptop huna kazi nayo ngumu kivile maana wanaohitaji specs kali na wenye kazi nazo huwa wanajua. Wewe hata HP Dragonfly series zinakutosha zenye i7.
 
Leo nilikuwa kwenye maduka ya PC, nilikuwa natafuta PC ya Lenovo. Kwa PC zenye AMD Ryzen 5 pro nyingi sana zinapatikana kwa laki hadi 8 na RAM ikiwa na 16GB na SSD 256GB.

Zenye AMD Ryzen 7 pro zinagota hadi 1m hasa matoleo ya HP, sasa nashangaa huyu jamaa yetu hizo specs za hizo PC na hizo bei amezitolea wapi
 
Back
Top Bottom