Singida kuku ni nafuu,karibu Majigo ufanye biashara
mnavuna lini alizeti mkuu?
mkuu, kwanza nikupe pole kwa ban..Kuhusu kuku, nenda singida utawapata wa kutosha!
mkuu Jawilat tafadhari... huko kwa wakulima , naweza pata kwa bei gani jogo linalowika?