Msaada Wa Mawazo ,Mtaji Mil 1 Nafikiria Kuanza Biashara Moja Kati Ya Hizi....

Msaada Wa Mawazo ,Mtaji Mil 1 Nafikiria Kuanza Biashara Moja Kati Ya Hizi....

Kuku nilitaka kuifanya hiyo ila inabidi uende taratibu na uwe na banda kuwatunzia ukitafuta soko maana gharama ya kukodi mabanda au gari itaku force kuuza kwa bei ya kutupa. Kuku vizuri wakusafirishie wenye malori wadogo kiasi kama miezi minne ili uwakuze ndio uuze utapata faida. Ukichukua wakubwa na usafiri faida hamna. Tafuta pia wadau waliotangaza kuuza hapa Dar kutoka iringa na moro. Kuna mdau Mahesabu alitoa ofa hapa kumsaidia mtu anayetaka mkaa kwa jumla angekufaa kuanzia.
 
Back
Top Bottom