Msaada wa mawazo namna ya kuanzisha chekekechea( english medium)

CHIMPONGO

Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
43
Reaction score
3
Nimehamia katika mji flani ambao kwa sasa ni makao makuu ya wilaya. katika kuangalia biashara gani naweza kuifanya nimepata wazo la kuanzisha chekechea kwa kuanzia na baadae daycare kwani hakuna huduma hiyo katika haka kamji.
sasa wadau naombeni msaada wenu wa taratibu za kisheria ili uruhusiwe kuanzisha, pia mtaji wangu ni mdogo ka m 6 na nataka nianze kwa kukodi jengo. Je nikiaanda b/plan ni mashirika gani yaweza kunisupport?
 
Duh hili wazo limenijia leo

Nikadhani huu uzi.wadau wameupitia kujibu...
 
Nimehamia katika mji flani ambao kwa sasa ni makao makuu ya wilaya. katika kuangalia biashara gani naweza kuifanya nimepata wazo la kuanzisha chekechea kwa kuanzia na baadae daycare kwani hakuna huduma hiyo katika haka kamji.
sasa wadau naombeni msaada wenu wa taratibu za kisheria ili uruhusiwe kuanzisha, pia mtaji wangu ni mdogo ka m 6 na nataka nianze kwa kukodi jengo. Je nikiaanda b/plan ni mashirika gani yaweza kunisupport?

Hiyo ni shule kamili kwa level ya chekechea, cha kufanya nenda kwa afisa elimu wa Wilaya akupe mwongozo wa nini cha kufanya, ni lazima isajiriwe ili usipate usumbufu huko mbele.
 
Back
Top Bottom