Msaada wa mawazo: Nampenda sana kiukweli

Nimeshindwa kukuelewa....kaandike upya
 
Achana na mapenzi kijana, kazana na elimu kwanza.
 
Aisee brother acha kututilia aibu
Mwanaume hashindwi kitu eboo!
Andika barua muwekee kwenye mkoba wake
Mtumie meseji mwambie aisome kesho aje na majibu akuwekee kwenye begi
Halafu haya mambo ya wewe unataka awe mpenzi lakini unamuomba urafiki ndo unapoanzia kufeli
NB: jifunze kuandika kiswahili kilichonyooka na uache vifupisho vya watoto wewe siyo pupil tena you are a student now sawa?
 
Nimecheka sana aliposema/uliposema kwenda kwa mganga ili akupe dawa akupende😀.

Kijana mwandiko wako tu unaonesha kwamba una tatizo la kufikiri kabla ya kutenda(mkurupukaji), huna mipango ya baadae kama matokeo ya unachokifanya sasa(future) kwa sababu umeacha hisia ziongoze akili yako, hivyo umekosa umakini na hivyo umeharibu shabaha yako, ukitaka kuthibitisha hilo angalia uandishi wako ulivyo, ulitakiwa utulie uone maana na nini ulichoandika lakini mambo ni tofauti.

Kitu kingine kinachokufanya uonekane ni mtu asiye na mipango ni vile ulivyosema kwamba ulimuomba huyo binti uwe na urafiki wa kimasomo halafu hapo hapo unamtumia ujumbe usiohusiana na ulichomwambia, je! unadhani alikufikiriaje pale uliposhtuka kwamba hajibu baadhi ya jumbe zako na kwanini?
 
Komaa na chuo ila njia rahisi isiyohitaji nguvu ni kwenda Kwa sangoma na fasta atakuita dear
 
Pole sana , ila tafuta hela kwanza , hao mabinti watakuja wenyewe.ni kweli mkuu hela muhim but c unajua bnadamu tuna feelings z mapenz ila hat ela ipo kidgo mkuu sema hil swal kwanz linasumbua kwa sas
 
Komaa na chuo ila njia rahisi isiyohitaji nguvu ni kwenda Kwa sangoma na fasta atakuita dear
haha naogopa kak haitanisumbua kiivo hiyo njia kam kun mtu anauzoefu na hayo mambo mana dah
 
Akikubali kuja kuonana na wewe mwambie akufundishe uandishi kwanza.
 
Yani unampenda mtu then kumtamkia unashindwa? teh teh tehh.... basi subiri wanaume watakutamkia
 
Anza mazoezi ya kutongoza
tongoza usio wapenda uone..
ili upunguze woga.....

Huyo pia uache kumtumia sms kutwa hasa kama huna cha maana cha kusema
utazidi kumfanya asikupende
Ni wanawake wachache sana tena wenye kipaji wanaoweza kupenda mvulana wa dizaini hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…