Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo liko Kwenye mwandiko wako kwanza! Badilisha mwandiko halafu uje tena
Tatizo liko Kwenye mwandiko wako kwanza! Badilisha mwandiko halafu uje tena
Si midomo tu, hata kuandika shida.Vijana wa siku hizi midomo mizito kama uji wa muhogo
Pole sana , ila tafuta hela kwanza , hao mabinti watakuja wenyewe.ni kweli mkuu hela muhim but c unajua bnadamu tuna feelings z mapenz ila hat ela ipo kidgo mkuu sema hil swal kwanz linasumbua kwa sas
haha naogopa kak haitanisumbua kiivo hiyo njia kam kun mtu anauzoefu na hayo mambo mana dahKomaa na chuo ila njia rahisi isiyohitaji nguvu ni kwenda Kwa sangoma na fasta atakuita dear
amna mkuu kwani nimekosea kuandika?Si midomo tu, hata kuandika shida.
Rudia kusoma post yako uone makosa yalivyo mengi...amna mkuu kwani nimekosea kuandika?
Sio Wa mhogo, uji Wa magimbiVijana wa siku hizi midomo mizito kama uji wa muhogo
Akikubali kuja kuonana na wewe mwambie akufundishe uandishi kwanza.habari zenu wakuu,? naomba kuwasilisha na kusaaidiwa kimawazo juu ya huyu binti jaman kwanza Mimi ni kijana Wa umri miaka 20 ni mwanafunzi Wa chuo hapa jijini dar es salaam kiukweli Mimi nimekuwa mzito sana kutongoza au kuexplain hisia zamhu kwa wadada pale ninapokuwa nimependa au kutaka kuwa n gal friend sijui tatzo nin sasa jaman hii hali inaniumiza sana na kunifanya nijihisi mpweke mda mwingi kwa kuogopa kuongea na mdada,dah imefika hatua kwa huyu binti ambae nimetokea kumpenda saba hapa chuo na ananichanganya sana kichwa changu kwanin ninetokea kumuelewa sana,nasoma nae baadhi ya coz pa1 hivi nilikuwa namwona tu ktk lecture rooms na aehrm zngne na Mara nyingi huwa anashnda peke ake a nap kuwa chuo licha ya hivo nilishindwa kuongea nae hat nikikaa nae karbu huwa naogpa sana kumwonglesha,lakin hivi karbuni nlitafuta namba yake nikapat nikamwomba tuwe marafik katka masom akasema saw lakin akasema hanifahamu ivo Jana nikaonana nae na kuongea nae kidgo tu lakin hat ivo namtumia text anajibu baadh tu zngne hajibu kam Jan jion nlimwomb tuonane hakureply asubuh nimemtumia text y kunuamsh hajareply n text zngne yupo kmya tu ivo Leo cjabahatik kuonana nae chuo.lakin hata Ivo nawaz niraanzaje kunwamvia abt love and relation coz natak awe Wang,haddi nawaza kwenda kwa mganga w jadi kam inawezekan akanisaidia kunip dawa itakayofanya nimpate aise naomb mnisaidie nifanyej kijan mwenzenu naumia sana kwa ajil yake?
Kwani we na huyo dem mpo chuo gani, au mnapiga hapo CHAUREMBO TRAINING COLLEGEni kweli unachokisema aise,ila sasa ndo nashindwa mwenzenu IVO cjui tatzo nin
Ni wanawake wachache sana tena wenye kipaji wanaoweza kupenda mvulana wa dizaini hiiAnza mazoezi ya kutongoza
tongoza usio wapenda uone..
ili upunguze woga.....
Huyo pia uache kumtumia sms kutwa hasa kama huna cha maana cha kusema
utazidi kumfanya asikupende
Vijana wa siku hizi midomo mizito kama uji wa muhogo