Msaada wa mawazo: Nampenda sana kiukweli

Hebu niPM namba yake nmfkishie ujumbe na kila ktu kitakuwa poa kabisa, ila sitokuruhusu uwe naye wakati huu mpaka umalze masomo kwanza
 
Domo zitooo hadi apigwe na manati ndo mdomo utafunguka

Huyu Dogo kama hakuwa Wa kanda ya ziwa Sijui!!!maana wakati nipo chuoni nilikuwa na rafiki Wa kanda ya ziwa alikuwa hawez kutongoza madem walikuwa wanamlia sana boom lake, wakawa wanamwita shosti wao, na sisi ME tukamwita Nyoka wakibisa.
 
hapana mkuu mim xio Wa huko,ila imetokea tu hii hali na kuhonga boom sijawahi
 
black page umetumia gia mbovu kweli!!!
Kosa lako la kwanza ni kuomba namba kwa watu badala ya kumface wewe kama wewe!!! Kosa la pili ni kuonyesha uko desperate....kaa tulia rudisha mpira kwa kipa...mechi ianze upya!!! Soma kwanza mdogo wangu!!!
 
Kama uandishi wako ndio huu huyo demu humpati hata ukienda kuroga. Hauko smart kwenye kuandika inaonesha hauko smart kwa namna nyingine yoyote ile.

We Timbulo una tabu kweli. Ulitakiwa namba umuombe mwenyewe. Mi nilivyo na kiburi sugu demu namuandikia namba zangu kwenye simu yake, halafu yeye ndio aamue kunitafuta. A gentleman has no whether. Amka bro.
 
hapana mkuu mim xio Wa huko,ila imetokea tu hii hali na kuhonga boom sijawahi

Mwenzako wakati najifunza kutongoza, kuna binti nlkuwa nampenda sana ila kumtokea nikiwa macho makavu nkashindwa na ikumbukwe simu za mikononi ilikuwa ni shida kumiliki....nkaamua kula kuberi kukata aibu, nkampa mistari kwa mda baada ya kuberi kuisha nguvu nikakimbia , ila ilisaidia ujumbe ulifika.

My take: Penye nia pana njia
 
hapana mkuu xio hivo,ni makosa tu Madogo but Niko makin sana na mambo yangu sema kwa hili jambo tu ndo lina shida
 
Dogo tafuta size zako! huyo ni habari nyingine kwako na ulivyoanza na vurugu za meseji na sera za kwenda kwa Babu inaonyesha unasoma chuo cha VETA sio vile vilivyotukuka.
 
ha
Dogo tafuta size zako! huyo ni habari nyingine kwako na ulivyoanza na vurugu za meseji na sera za kwenda kwa Babu inaonyesha unasoma chuo cha VETA sio vile vilivyotukuka.
pan mkuu nasom chuo kikubwa tu sema bas nimepanik tu inaezekan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…