Msaada wa mawazo: Nampenda sana kiukweli

Msaada wa mawazo: Nampenda sana kiukweli

habari zenu wakuu,? naomba kuwasilisha na kusaaidiwa kimawazo juu ya huyu binti jaman kwanza Mimi ni kijana Wa umri miaka 20 ni mwanafunzi Wa chuo hapa jijini dar es salaam kiukweli Mimi nimekuwa mzito sana kutongoza au kuexplain hisia zamhu kwa wadada pale ninapokuwa nimependa au kutaka kuwa n gal friend sijui tatzo nin sasa jaman hii hali inaniumiza sana na kunifanya nijihisi mpweke mda mwingi kwa kuogopa kuongea na mdada,dah imefika hatua kwa huyu binti ambae nimetokea kumpenda saba hapa chuo na ananichanganya sana kichwa changu kwanin ninetokea kumuelewa sana,nasoma nae baadhi ya coz pa1 hivi nilikuwa namwona tu ktk lecture rooms na aehrm zngne na Mara nyingi huwa anashnda peke ake a nap kuwa chuo licha ya hivo nilishindwa kuongea nae hat nikikaa nae karbu huwa naogpa sana kumwonglesha,lakin hivi karbuni nlitafuta namba yake nikapat nikamwomba tuwe marafik katka masom akasema saw lakin akasema hanifahamu ivo Jana nikaonana nae na kuongea nae kidgo tu lakin hat ivo namtumia text anajibu baadh tu zngne hajibu kam Jan jion nlimwomb tuonane hakureply asubuh nimemtumia text y kunuamsh hajareply n text zngne yupo kmya tu ivo Leo cjabahatik kuonana nae chuo.lakin hata Ivo nawaz niraanzaje kunwamvia abt love and relation coz natak awe Wang,haddi nawaza kwenda kwa mganga w jadi kam inawezekan akanisaidia kunip dawa itakayofanya nimpate aise naomb mnisaidie nifanyej kijan mwenzenu naumia sana kwa ajil yake?

Hebu niPM namba yake nmfkishie ujumbe na kila ktu kitakuwa poa kabisa, ila sitokuruhusu uwe naye wakati huu mpaka umalze masomo kwanza
 
Domo zitooo hadi apigwe na manati ndo mdomo utafunguka

Huyu Dogo kama hakuwa Wa kanda ya ziwa Sijui!!!maana wakati nipo chuoni nilikuwa na rafiki Wa kanda ya ziwa alikuwa hawez kutongoza madem walikuwa wanamlia sana boom lake, wakawa wanamwita shosti wao, na sisi ME tukamwita Nyoka wakibisa.
 
Huyu Dogo kama hakuwa Wa kanda ya ziwa Sijui!!!maana wakati nipo chuoni nilikuwa na rafiki Wa kanda ya ziwa alikuwa hawez kutongoza madem walikuwa wanamlia sana boom lake, wakawa wanamwita shosti wao, na sisi ME tukamwita Nyoka wakibisa.
hapana mkuu mim xio Wa huko,ila imetokea tu hii hali na kuhonga boom sijawahi
 
black page umetumia gia mbovu kweli!!!
Kosa lako la kwanza ni kuomba namba kwa watu badala ya kumface wewe kama wewe!!! Kosa la pili ni kuonyesha uko desperate....kaa tulia rudisha mpira kwa kipa...mechi ianze upya!!! Soma kwanza mdogo wangu!!!
 
Kama uandishi wako ndio huu huyo demu humpati hata ukienda kuroga. Hauko smart kwenye kuandika inaonesha hauko smart kwa namna nyingine yoyote ile.

We Timbulo una tabu kweli. Ulitakiwa namba umuombe mwenyewe. Mi nilivyo na kiburi sugu demu namuandikia namba zangu kwenye simu yake, halafu yeye ndio aamue kunitafuta. A gentleman has no whether. Amka bro.
 
hapana mkuu mim xio Wa huko,ila imetokea tu hii hali na kuhonga boom sijawahi

Mwenzako wakati najifunza kutongoza, kuna binti nlkuwa nampenda sana ila kumtokea nikiwa macho makavu nkashindwa na ikumbukwe simu za mikononi ilikuwa ni shida kumiliki....nkaamua kula kuberi kukata aibu, nkampa mistari kwa mda baada ya kuberi kuisha nguvu nikakimbia , ila ilisaidia ujumbe ulifika.

My take: Penye nia pana njia
 
Nimecheka sana aliposema/uliposema kwenda kwa mganga ili akupe dawa akupende😀.

Kijana mwandiko wako tu unaonesha kwamba una tatizo la kufikiri kabla ya kutenda(mkurupukaji), huna mipango ya baadae kama matokeo ya unachokifanya sasa(future) kwa sababu umeacha hisia ziongoze akili yako, hivyo umekosa umakini na hivyo umeharibu shabaha yako, ukitaka kuthibitisha hilo angalia uandishi wako ulivyo, ulitakiwa utulie uone maana na nini ulichoandika lakini mambo ni tofauti.

Kitu kingine kinachokufanya uonekane ni mtu asiye na mipango ni vile ulivyosema kwamba ulimuomba huyo binti uwe na urafiki wa kimasomo halafu hapo hapo unamtumia ujumbe usiohusiana na ulichomwambia, je! unadhani alikufikiriaje pale uliposhtuka kwamba hajibu baadhi ya jumbe zako na kwanini?
hapana mkuu xio hivo,ni makosa tu Madogo but Niko makin sana na mambo yangu sema kwa hili jambo tu ndo lina shida
 
Dogo tafuta size zako! huyo ni habari nyingine kwako na ulivyoanza na vurugu za meseji na sera za kwenda kwa Babu inaonyesha unasoma chuo cha VETA sio vile vilivyotukuka.
 
ha
Dogo tafuta size zako! huyo ni habari nyingine kwako na ulivyoanza na vurugu za meseji na sera za kwenda kwa Babu inaonyesha unasoma chuo cha VETA sio vile vilivyotukuka.
pan mkuu nasom chuo kikubwa tu sema bas nimepanik tu inaezekan
 
Back
Top Bottom