Msaada wa mawazo: Nampenda sana kiukweli

Mbona Cocacola wamewarahisishia madomo zege wote au boom lishaisha?
 
Nunua vocha kisha mtumie namba za salio za hiyo vocha lakin kama namba zipo 14 wewe jifanye umesahau namba moja, tuma 13. Atakutafuta tu.
Zaidi haujiamini ndio maana unamuogopa. Mwanaume kukataliwa ni changamoto na kaa ukijua kutongoza hakuna kanuni.
Sasa nakutaka ukimuona wala usiogope, mfuate ukiweza mshike mkono umsalinie, umeskia dogo. fanya hivyo wala hutakufa na hata kuona wewe ni mtu wa ajabu. Wewe sio wa kwanza kukataliwa na wala sio wa mwisho. Ukishindwa fuata ushauri wa theboss
 
Hahaa yaani nakuona unavyotetemeka mpaka mwandiko. Sllaha uliyobak nayo ni kwenda kwa Mganga !
 
ni bahati mbaya tu mkuu,ni

kwamb tuko tofauti wengne tuna mishpa y aibu labda niseme ko mi nataka iyo hali nisiwe nayo
wewe unamabusha mengi sio aibu peke yake hata mwandiko, tecn zako ni mabusha haya nenda mwananyamala uka pasue
 
ukikutana nae akili itaruka tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…