Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe unamabusha mengi sio aibu peke yake hata mwandiko, tecn zako ni mabusha haya nenda mwananyamala uka pasueni bahati mbaya tu mkuu,ni
kwamb tuko tofauti wengne tuna mishpa y aibu labda niseme ko mi nataka iyo hali nisiwe nayo
tatizo huna sio kama amekuwezadah it
abid mkuu hali ikiendelea kuwa mbaya ila kwa sasa ameniweza niko namhitaji san yan
ukikutana nae akili itaruka tenaasanteni sana wote mlonisaidia kimawazo ndugu zangu akina kaka na dada zangu siwezi kuwataja wote kwa majina but nimepokea ushauri wenu kwa mikono miwili na nitaufanyia kazi,nimeamua moja ambalo nimeona ni bora na wengi mumenishauri kusoma kwanza na si vinginevyo na ninaachana na hiyo habari ya mapenzi naanza rasmi kitabu ili nisiwe na stress nikiwa chuo wala nisiingie gharama kumgharamia uyo mtoto mwenzangu wa kike pia ili nifaulu na nisije kudisco asanteni sana mlokuwa grteat thinkers than me.acha nisome mana coz yangu yenyew n shda.Mungu awabariki sanaaaa