Msaada wa mawazo: Nataka kufungua 'liquor store' Goba au Tabata

Msaada wa mawazo: Nataka kufungua 'liquor store' Goba au Tabata

Jamaa kaomba anayejua mtaji kiasi gani wa kuanzia nayo na bei za frem maeneo hayo, sas wew unamlazimisha business plan ya nin sass
Biashara hazianzishwi kienyeji hivyo kama upo serious bruh
 
Me pia nina mpango wa kufungua hii kitu,kawe simple tu.
 
Vijana punguzeni ujuaji. Nimeuliza vitu viwili tu kama unavijua jibu kama hujui tulia na nikasema mengine niachieni. Mnafikiri kuuliza hapa ni kwamba sijui chochote? Mara research blah blah hamjui kama na hii ni sehemu ya research yangu.
 
Jamaa kaomba anayejua mtaji kiasi gani wa kuanzia nayo na bei za frem maeneo hayo, sas wew unamlazimisha business plan ya nin sass
Wabongo ni wajuaji sana. Akili zao mtu akiuliza hapa kamaliza anarudi kulala
 
Usipende mteremko hivyo mzeiyaa nenda tabata soma mazingira na upepo, uliza fremu mwenyewe kwa madalali na wapangaji upate uhalisia, rudi na Goba vivyo hivyo. Utelezi usiwe mwingi mzee pambana kaza tacall
Low IQ. Jibu maswali niliyouliza mengine niachie.
 
Mimi binafsi nimewai kufanya hiyo biashara hujaweza kueleza kuwa unafanya kwa jumla au rejareja lakini cha kwanza zingatia location maana ndiyo jambo la msingi pili hiyo biashara ya liquor lazima uwe na ujuzi kwenye masuala ya vinywaji ujue ni vinywaji gani hasa watu hupendelea kuanzia kwny vodka,spirits,wine,brand and whisky maana unaweza ukanunua vinywaji vingi ukakuta havitembei na hivyo vinywaji labda umenunua kwa bei kubwa sana maana uhai wa baishara yoyote unategemea mzunguko na kingine tena madealer wa liquor hapa bongo ni wengi na kila mtu ana bei yake nalo ni jambo lingine inabidi uzingatie na hii biashara kama unafanya jali sana fremu zenye parking hapo ukikosea kaka kwenye fremu za mitaani utapigwa ngumi za kichwa na pia kumbuka wenye fremu wanakuwa na changamoto sana na biashara za vilevi lakini lisikukatishe tamaa pia
 
Kama unajua minimum capital kwa biashara hii na bei ya fremu maeneo tajwa nijulishe,mengine niachie
tembea ukaone na uulize on the ground. achana na mitandao. soko halitafutwi kwa style unayotaka
 
Waungwana nataka kufungua biashara hii maeneo kama Tabata au Goba naomba msaada wa mawazo mtaji mdogo kiasi gani naweza kuanza nao na being za fremu maeneo hayo.

Wenye uzoefu naomba msaada went.

Asanteni
Hello,

Mtaji ni around 10M up to 25M; Na fremu ni around 300k up to 500k itategemeana na ukubwa + eneo.

All the best..

Best Regards
 
Go and do research, tatizo tunafikiri kufanya research sio sehemu ya biashara. Research ya kuuliza pango la fremu pamoja na nature ya eneo tenga kabisa budget.

Tatizo tukiambiwa ukweli tunaanza kuona watu wabaya. Biashara sio mtaji tu.
 
Vijana punguzeni ujuaji. Nimeuliza vitu viwili tu kama unavijua jibu kama hujui tulia na nikasema mengine niachieni. Mnafikiri kuuliza hapa ni kwamba sijui chochote? Mara research blah blah hamjui kama na hii ni sehemu ya research yangu.

Yaani unataka utelezi sehemu unapoweka hela yako[emoji28][emoji28]
Pole ndugu
 
Vijana punguzeni ujuaji. Nimeuliza vitu viwili tu kama unavijua jibu kama hujui tulia na nikasema mengine niachieni. Mnafikiri kuuliza hapa ni kwamba sijui chochote? Mara research blah blah hamjui kama na hii ni sehemu ya research yangu.
Nimesikitika hadi post ya 23 sijapata jibu, ni blabla tu. Humu JF wakati mwingine sio pa kuomba ushauri
 
Back
Top Bottom