lukas charles
Member
- Jan 5, 2017
- 82
- 47
Asante kwa ushauli wako mr increaseBelo ni kuomba tu mungu upate nguo nzuri, mi nakushauri nunua Belo la bukta au belo kubwa la t-shirt za kiume ili usipate maronya ronya...afu ukifungua mzigo uza bei nafuu uishe fasta zinazo baki ndio upandishe
Niko Mwanza mkuuUpo mkoa gani?.. mimi sio mzoefu ila wajuzi humu wanashauri sana nhia nzuri ni hiyo hiyounayoitumia wewe.
Belo hupatikana kwa bei gani mkuuNadhani nguo za watoto zinalipa zaidi
Sent from my iPhone using JamiiForums