Msaada wa mawazo: Ni robota gani la mtumba hulipa? Yaani hutoa faida kubwa?

Msaada wa mawazo: Ni robota gani la mtumba hulipa? Yaani hutoa faida kubwa?

lukas charles

Member
Joined
Jan 5, 2017
Posts
82
Reaction score
47
Mimi ni chinga wa wamitumba. Mara nyingi hununua mitumba kwa kusoti bidhaa mojamoja yaani kuchuzi na nimekuwa niki mix bidha

Sasa naona faida kama ni kidogo sana nawaza kununua balo zima ila najiuliza ninunue balo gani lenye kunipa faida na kuisha kwa wakati?

Kwa walio na uzoefu na biashala hii wanisaidie mawazo maendeleo hayana chama"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea uzoefu wako na wateja wako huwa unawazuia nguo za kike,kiume,watoto,wakubwa au mchanganyiko?
 
Upo mkoa gani?.. mimi sio mzoefu ila wajuzi humu wanashauri sana nhia nzuri ni hiyo hiyounayoitumia wewe.
 
Belo ni kuomba tu mungu upate nguo nzuri, mi nakushauri nunua Belo la bukta au belo kubwa la t-shirt za kiume ili usipate maronya ronya...afu ukifungua mzigo uza bei nafuu uishe fasta zinazo baki ndio upandishe
 
Mabello mengi huanza laki na nusu, laki mbili mpaka milioni moja kama la mashuka, mapazia n.k
 
Back
Top Bottom