Msaada wa Mawazo Tafadhali.

Msaada wa Mawazo Tafadhali.

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
376
Reaction score
127
Nina Sh. 1,000,000 hapa. Sasa yaani Kuna mambo mawili yananichanganya Sana hapa.

1. Nitafute uwanja Kwanza kwa ajili ya kujenga au

2. Niingize kwenye kilimo? Kilimo kipi hakina stress jaman dah... Maana nachoka mie au

3. Nifanye Biashara. Biashara gani kwa usawa huu jaman ....
 
[emoji23][emoji23] Daaah!! Kungekua na shughuli ya kupata pesa ambayo haina stress trust me kila m2 angefanya bro!! Cha muhimu n kuawilling kutake risk zote ambazo ztakuja mbele yako na kama ukiweza bac omba MUNGU akusaidie kumaliza safar yako ya mafanikio
 
Wekeza kwanza, kama una muda zama porini huko nunua mazao unaenda kuuza mjini.
Pesa hiyo unaweza tafuta eneo ukaanzisha mgahawa huku ukizingatia usafi na bei.
 
Yaani iyo 1m ndio uwaze kujenga jenga kaburi nyumba ya milele!!!! Fungua kichwa nunua mazao kijijini leta mjini nafaka aidanganyi.au ukalime km ulivyo sema but kujenga lol!!!!
 
Mmh hapo chalinze sishauri mtu anunue kiwanja mana ardhi ya kule ni mbaya inapasuka nyumba zinatoka nyufa pia ardhi ya kule haipandi thamani pia siku ukitaka kuuza wateja watabu mno unaweza kosa pia.. Chengine ardhi yake pia inateleza balaa ikinyesha mvua utembei.. Nimekaa Sana chalinze pale na Kuna kiwanja tulikosa mteja wa kuuza
Laki tano tafuta kiwanja kilichopimwa, unaweza kupata Chalinze. Laki tano Lima pilipili hoho
 
Back
Top Bottom