Msaada wa mawazo ufugaji wa kuku

Msaada wa mawazo ufugaji wa kuku

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,404
Habari za majukumu wakuu, naombeni mawazo yenu nahitaji kuanzsha hii biashara, kwa wazoefu nini changamoto ili nijipange
 
Changamoto zipi nyingi sana ila ili uzione ni bora ukaingia na Changamoto huvary, hivyo kwa practise wewe ingia, make unaweza ambiwa kwamba kuku wanakufa lakini wewe ukaingia na kuku asife hata mmoja, au ukaambiwa hakuna kuku wanao kufa na ukaingia ukajikuta wanateketea wote so kikubwa wewe ingia na pambana kufa na kupona. never give up
 
Nashukuru sana mkuu, ngoja nianze mara moja
 
Zingatia sana chakula ( kama ukiweza tengeneza cha kwako), Usafi wa banda, na tatu dawa na chanjo. Chanjo ni bora kuliko kutibu na ni rahisi so chanjo za Newcastle na Gomboro ni vyema kuzizingatia. Natumia dakika kama 20 hivi kila siku kuwangalia mifugo yako hiyo itakusaidia kugundua kama kuna tatizo mapema ( know your business). Nakutakia kila la heri huwezi jua beila kujaribu
 
Hivi Chasha Red worms kwa hapa Tanzania wanapatikana wapi?
 
Zingatia sana chakula ( kama ukiweza tengeneza cha kwako), Usafi wa banda, na tatu dawa na chanjo. Chanjo ni bora kuliko kutibu na ni rahisi so chanjo za Newcastle na Gomboro ni vyema kuzizingatia. Natumia dakika kama 20 hivi kila siku kuwangalia mifugo yako hiyo itakusaidia kugundua kama kuna tatizo mapema ( know your business). Nakutakia kila la heri huwezi jua beila kujaribu

asante kaka.,
 
Market pia ni changamoto hasa kwa ufugaji mkubwa..ukianza kufuga pia tenga muda wa kufuatilia soko ili wakifika muda basi unachinja tu
 
chasa unapatikana mkoa gani mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unatakiwa zingatia chanjo hasa na usafi wa banda pia
 
Back
Top Bottom