Msaada wa mawazo unahitajika hapa

Msaada wa mawazo unahitajika hapa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1634129126786.png
 
Mwambie jamaa hakuna sehemu ya kulala.... Nenda nae Lindo mkakeshe wote
 
Inawezekana vipi hilo, kwanza mke unapataje ujasir wa kuniambia upumbavu wa namna hiyo🤣🤣🤣 yani hapo nitakachokifanya nitasema ewaaaah bora umekuja mkuu siku nyingi nilikua nikiongea na wife hapa kuhusu kumchukua dogo. Halafu mtoto na yeye alikuwa msumbufu sana anataka kwenda kwa baba, mke wangu hebu muandae mtoto vizur aondoke na baba yake muda huu.
 
Back
Top Bottom