Inawezekana vipi hilo, kwanza mke unapataje ujasir wa kuniambia upumbavu wa namna hiyo🤣🤣🤣 yani hapo nitakachokifanya nitasema ewaaaah bora umekuja mkuu siku nyingi nilikua nikiongea na wife hapa kuhusu kumchukua dogo. Halafu mtoto na yeye alikuwa msumbufu sana anataka kwenda kwa baba, mke wangu hebu muandae mtoto vizur aondoke na baba yake muda huu.