F flourishing Member Joined Jun 6, 2014 Posts 10 Reaction score 3 Jun 6, 2014 #1 kozi za lab sciences, veterinary md na molecular biology and biotechnology je ipi ina wigo mpana ktk ajira nna point 3.5
kozi za lab sciences, veterinary md na molecular biology and biotechnology je ipi ina wigo mpana ktk ajira nna point 3.5
snipa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 4,437 Reaction score 2,043 Jun 6, 2014 #2 Uliipenda sana ipi mkuu ?
F flourishing Member Joined Jun 6, 2014 Posts 10 Reaction score 3 Jun 6, 2014 Thread starter #3 mkuu ktk hizo me nina idea na lab sciences sababu waweza fanya kaz maabara but i wanted to know more kuhusu izo nyingine
mkuu ktk hizo me nina idea na lab sciences sababu waweza fanya kaz maabara but i wanted to know more kuhusu izo nyingine
F flourishing Member Joined Jun 6, 2014 Posts 10 Reaction score 3 Jun 7, 2014 Thread starter #4 naomba kujuzwa zaidi kuhusu molecular biology and biotechnology ,utafanya kazi gani na mshahara wake ukoje je ina soko
naomba kujuzwa zaidi kuhusu molecular biology and biotechnology ,utafanya kazi gani na mshahara wake ukoje je ina soko
F flourishing Member Joined Jun 6, 2014 Posts 10 Reaction score 3 Jun 7, 2014 Thread starter #5 karibuni wadau mawazo yenu yatanisaidia jamani