msaada wa mawazo wadau wa elimu

msaada wa mawazo wadau wa elimu

flourishing

Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
10
Reaction score
3
kozi za lab sciences, veterinary md na molecular biology and biotechnology je ipi ina wigo mpana ktk ajira nna point 3.5
 
mkuu ktk hizo me nina idea na lab sciences sababu waweza fanya kaz maabara but i wanted to know more kuhusu izo nyingine
 
naomba kujuzwa zaidi kuhusu molecular biology and biotechnology ,utafanya kazi gani na mshahara wake ukoje je ina soko
 
Back
Top Bottom