Mke wangu amepata nafasi katika vyuo viwili muhula wa 2013. Katika matokeo ya TCU amechaguliwa kozi ambayo hakuichagua kwenye mfumo wa CAS. Pia matokeo ya chuo ambacho hakipo kwenye mfumo wa CAS ya Chuo cha Morogoro University of Muslim amepata nafasi ya kozi aliyoipenda ya Bachelor of Arts with Education. Je, kwa mkanganyiko huu atafanikiwa kweli kupata mkopo wa bodi ya mkopo?