Msaada wa mawazo wakuu!

Msaada wa mawazo wakuu!

Makbel

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
774
Reaction score
167
Mke wangu amepata nafasi katika vyuo viwili muhula wa 2013. Katika matokeo ya TCU amechaguliwa kozi ambayo hakuichagua kwenye mfumo wa CAS. Pia matokeo ya chuo ambacho hakipo kwenye mfumo wa CAS ya Chuo cha Morogoro University of Muslim amepata nafasi ya kozi aliyoipenda ya Bachelor of Arts with Education. Je, kwa mkanganyiko huu atafanikiwa kweli kupata mkopo wa bodi ya mkopo?
 
never tcu inashilikiana na heslb so kama c 1 ya vyuo listed by tcu 4get heslb
 
never tcu inashilikiana na heslb so kama c 1 ya vyuo listed by tcu 4get heslb

mpaka hapo nimekuelewa ila wasi wasi wangu upo kwenye huo mkanganyiko wa mke wangu kupata vyuo viwili tena vyote vipo chini ya TCU lakini udahili upo tofauti. Je, kwa issue ya mkopo mke wangu ataweza kupewa au ndiyo bye bye bye?
 
Back
Top Bottom