Salaam wakuu, mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012, matokeo yangu ya mwanzo nilipata div III ya 23 phy-C chem-C bios-B, Na nlikuwa nampango wa kwenda kuchukua Comb ya PCB ,A-level, tatizo math nlilamba F totaly na sijui kma itabadilika hata wakfanya standrzation, Na nasikia kama umepata math F, huwez kusoma comb yoyote ya science, je kuna ukwel wowote???
, NB: Kama huna cha kujibu naomba usitumie lugha za matusi.